sirnkhauva
Member
- Jul 24, 2017
- 7
- 3
Acha izo wewe. Hii mboga imeliwa na wazee Karne na KarneMzee mmoja tumemzika mtaani kwetu, alikuwa mwenye afya njema Mwezi uliopita, Mwezi huu kaugua daktari kamweleza ugonjwa unatokana na ulaji wa Nyama ya nguruwe, week hii amefariki, jumatano yalikuwa mazishi yake, Mungu akizuia kitu wanadamu tusikaidi, kwa yeye ndiye aliyetuumba.
Weka na jiko!Wadau naomba kupata uzoefu kwa mwenye uzoefu. Nahitaji kufungua machinjio ya nguruwe. Naomba mwenye uzoefu. Niombe radhi kwa alie imani nyingine wadau.
Mkuu ulaji wa nguruwe ni haramu kwa dini na imani yako..Ulaji wa Nguruwe ni haramu, Mungu amezuia Soma Isaya 66:16-17
16 Kwa maana Bwana atateta na wote wenye mwili, kwa moto na kwa upanga wake; nao watakaouawa na Bwana watakuwa wengi.
17 Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema Bwana.
Hata kula jicho ni haramu mkuuMzee mmoja tumemzika mtaani kwetu, alikuwa mwenye afya njema Mwezi uliopita, Mwezi huu kaugua daktari kamweleza ugonjwa unatokana na ulaji wa Nyama ya nguruwe, week hii amefariki, jumatano yalikuwa mazishi yake, Mungu akizuia kitu wanadamu tusikaidi, kwa yeye ndiye aliyetuumba.
Mzee mmoja tumemzika mtaani kwetu, alikuwa mwenye afya njema Mwezi uliopita, Mwezi huu kaugua daktari kamweleza ugonjwa unatokana na ulaji wa Nyama ya nguruwe, week hii amefariki, jumatano yalikuwa mazishi yake, Mungu akizuia kitu wanadamu tusikaidi, kwa yeye ndiye aliyetuumba.
Ni kweli mzee hivi vitabu viliandikwa kwenye mazingira ya middle East. Hivi watu wanaoishi Amazon Forest ambao wengi wanategema kula nguruwe kama chakula chao kikuu nao inakuaje.Pia ukisoma Isaya 65:1-4
Muumbaji wetu anazuia ulaji wa nyama ya nguruwe
Watu wasionitaka wanauliza habari zangu; nimeonekana na hao wasionitafuta; naliliambia taifa lisiloitwa kwa jina langu,
2 Nitazameni, nitazameni. Mchana kutwa nimewanyoshea mikono yangu watu walioasi, watu waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe;
3 watu wanikasirishao mbele za uso wangu daima, wakitoa dhabihu katika bustani zao, na kufukiza uvumba juu ya matofali;
4 waketio kati ya makaburi, na kulala katika mahali pao pa siri; walao nyama ya nguruwe, na mchuzi wa vitu vinichukizavyo u katika vyombo vyao;
Kuelimishana tu mkuu,kama unakula kula tuAcha izo wewe. Hii mboga imeliwa na wazee Karne na Karne
Neno la Mwenyezi Mungu lilianzia mashariki ya kati, lkn ni kwa wanadamu wote. Sehemu nyingine wanakula nyani. Kwa hiyo tuseme kula nyani ni halali?Ni kweli mzee hivi vitabu viliandikwa kwenye mazingira ya middle East. Hivi watu wanaoishi Amazon Forest ambao wengi wanategema kula nguruwe kama chakula chao kikuu nao inakuaje.
Hajasema doctor, kasema yeye mgonjwaUgonjwa ni siri ya mgonjwa na daktari wake...Kama doctor alikuambia anachoumwa huyo mzee Basi daktari anaweza kufutiwa lesini yake kwa kosa la kutoa Siri ya mgonjwa.
Biblia imezuia, Soma mwenyewe, usingoje kusomewa na wanadamuMkuu ulaji wa nguruwe ni haramu kwa dini na imani yako..
Au China (na nchi kadhaa Asia) ....nguruwe ndio nyama rahisi inaliwa kuliko nyama nyingine...Ni kweli mzee hivi vitabu viliandikwa kwenye mazingira ya middle East. Hivi watu wanaoishi Amazon Forest ambao wengi wanategema kula nguruwe kama chakula chao kikuu nao inakuaje.
Kuna ambao hawana dini piaBiblia imezuia, Soma mwenyewe, usingoje kusomewa na wanadamu