Nataka kufungua machinjio ya nguruwe

Nataka kufungua machinjio ya nguruwe

sirnkhauva

Member
Joined
Jul 24, 2017
Posts
7
Reaction score
3
Wadau naomba kupata uzoefu kwa mwenye uzoefu. Nahitaji kufungua machinjio ya nguruwe. Naomba mwenye uzoefu. Niombe radhi kwa alie imani nyingine wadau.
 
Ulaji wa Nguruwe ni haramu, Mungu amezuia Soma Isaya 66:16-17
16 Kwa maana Bwana atateta na wote wenye mwili, kwa moto na kwa upanga wake; nao watakaouawa na Bwana watakuwa wengi.
17 Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema Bwana.
 
Pia ukisoma Isaya 65:1-4
Muumbaji wetu anazuia ulaji wa nyama ya nguruwe
Watu wasionitaka wanauliza habari zangu; nimeonekana na hao wasionitafuta; naliliambia taifa lisiloitwa kwa jina langu,
2 Nitazameni, nitazameni. Mchana kutwa nimewanyoshea mikono yangu watu walioasi, watu waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe;
3 watu wanikasirishao mbele za uso wangu daima, wakitoa dhabihu katika bustani zao, na kufukiza uvumba juu ya matofali;
4 waketio kati ya makaburi, na kulala katika mahali pao pa siri; walao nyama ya nguruwe, na mchuzi wa vitu vinichukizavyo u katika vyombo vyao;
 
Mzee mmoja tumemzika mtaani kwetu, alikuwa mwenye afya njema Mwezi uliopita, Mwezi huu kaugua daktari kamweleza ugonjwa unatokana na ulaji wa Nyama ya nguruwe, week hii amefariki, jumatano yalikuwa mazishi yake, Mungu akizuia kitu wanadamu tusikaidi, kwa yeye ndiye aliyetuumba.
 
Acha izo wewe. Hii mboga imeliwa na wazee Karne na Karne
 
Wadau naomba kupata uzoefu kwa mwenye uzoefu. Nahitaji kufungua machinjio ya nguruwe. Naomba mwenye uzoefu. Niombe radhi kwa alie imani nyingine wadau.
Weka na jiko!
 
Ulaji wa Nguruwe ni haramu, Mungu amezuia Soma Isaya 66:16-17
16 Kwa maana Bwana atateta na wote wenye mwili, kwa moto na kwa upanga wake; nao watakaouawa na Bwana watakuwa wengi.
17 Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema Bwana.
Mkuu ulaji wa nguruwe ni haramu kwa dini na imani yako..
 
Mzee mmoja tumemzika mtaani kwetu, alikuwa mwenye afya njema Mwezi uliopita, Mwezi huu kaugua daktari kamweleza ugonjwa unatokana na ulaji wa Nyama ya nguruwe, week hii amefariki, jumatano yalikuwa mazishi yake, Mungu akizuia kitu wanadamu tusikaidi, kwa yeye ndiye aliyetuumba.
Hata kula jicho ni haramu mkuu
 
Ugonjwa ni siri ya mgonjwa na daktari wake...Kama doctor alikuambia anachoumwa huyo mzee Basi daktari anaweza kufutiwa lesini yake kwa kosa la kutoa Siri ya mgonjwa.
Mzee mmoja tumemzika mtaani kwetu, alikuwa mwenye afya njema Mwezi uliopita, Mwezi huu kaugua daktari kamweleza ugonjwa unatokana na ulaji wa Nyama ya nguruwe, week hii amefariki, jumatano yalikuwa mazishi yake, Mungu akizuia kitu wanadamu tusikaidi, kwa yeye ndiye aliyetuumba.
 
Pia ukisoma Isaya 65:1-4
Muumbaji wetu anazuia ulaji wa nyama ya nguruwe
Watu wasionitaka wanauliza habari zangu; nimeonekana na hao wasionitafuta; naliliambia taifa lisiloitwa kwa jina langu,
2 Nitazameni, nitazameni. Mchana kutwa nimewanyoshea mikono yangu watu walioasi, watu waendao katika njia isiyo njema, wakifuata mawazo yao wenyewe;
3 watu wanikasirishao mbele za uso wangu daima, wakitoa dhabihu katika bustani zao, na kufukiza uvumba juu ya matofali;
4 waketio kati ya makaburi, na kulala katika mahali pao pa siri; walao nyama ya nguruwe, na mchuzi wa vitu vinichukizavyo u katika vyombo vyao;
Ni kweli mzee hivi vitabu viliandikwa kwenye mazingira ya middle East. Hivi watu wanaoishi Amazon Forest ambao wengi wanategema kula nguruwe kama chakula chao kikuu nao inakuaje.
 
Neno la Mwenyezi Mungu lilianzia mashariki ya kati, lkn ni kwa wanadamu wote. Sehemu nyingine wanakula nyani. Kwa hiyo tuseme kula nyani ni halali?
 
K
Ugonjwa ni siri ya mgonjwa na daktari wake...Kama doctor alikuambia anachoumwa huyo mzee Basi daktari anaweza kufutiwa lesini yake kwa kosa la kutoa Siri ya mgonjwa.
Hajasema doctor, kasema yeye mgonjwa
 
Ni kweli mzee hivi vitabu viliandikwa kwenye mazingira ya middle East. Hivi watu wanaoishi Amazon Forest ambao wengi wanategema kula nguruwe kama chakula chao kikuu nao inakuaje.
Au China (na nchi kadhaa Asia) ....nguruwe ndio nyama rahisi inaliwa kuliko nyama nyingine...
 
Back
Top Bottom