hasani migombo
Member
- Mar 5, 2019
- 8
- 4
Habari zenu ndugu na na jamaa Nina swali kidogo naomba msadaa wenu ..Mimi nimejufunza kutengeneza simu software na hardware na sasa nipo vizuri nahitaji kufungua office ili nianze kupata kipato nahitaj kujua hatuwa za kufata ili nifungue hio office sitaki police wanisumbuwe