Nataka kufungua Ofisi ya kutengeneza simu, hatua gani nifuate ili polisi wasinisumbue?

Joined
Mar 5, 2019
Posts
8
Reaction score
4
Habari zenu ndugu na na jamaa Nina swali kidogo naomba msadaa wenu ..Mimi nimejufunza kutengeneza simu software na hardware na sasa nipo vizuri nahitaji kufungua office ili nianze kupata kipato nahitaj kujua hatuwa za kufata ili nifungue hio office sitaki police wanisumbuwe
 
Mkuu hongera zako, vipi lakini umesomea wapi kwani hapa Tanzania kuna chuo cha ufundi simu?
 
Back
Top Bottom