Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 564
Mmmmmmhmn ungetazama sehemu nyingine......pale services are too cheap......kama ulisoma uchumi tutafanisha na perfect market.........yaani utarudisha faida taratibu sana......
Lakin pia waweza kuangalia maslai ya watu pamoja na shule baadhi ya ofic ziwepo itakuwa poa
wakuu nataka kufungua stationery maeneo ya mabibo hostel,kwa wajuzi zaidi wa biashara ya aina hii je maeneo hayo yanaweza kulipa kweli?,tayari nini photocopy machine CANON IR 3300 yenye uwezo wa kuprint,computer na printer vyote ninavyo,kama nitapata ushauri zaidi nitashukuru sana
Mmmmmmhmn ungetazama sehemu nyingine......pale services are too cheap......kama ulisoma uchumi tutafanisha na perfect market.........yaani utarudisha faida taratibu sana......
Lakin pia waweza kuangalia maslai ya watu pamoja na shule baadhi ya ofic ziwepo itakuwa poa
kodi za fremu ni kubwa.. huku huduma ni bei rahisi sana... wateja ni wengi japokuwa mnagawana gawana.. japokuwa vyuo vikifungwa inakuwa hasara
Waweza kifungu kama umepata flem kwan sehemu hiyo ipo vizur wateja wapo wa kila aina co wanafunz pekee