Teamanaconda
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 602
- 564
wakuu nataka kufungua stationery maeneo ya mabibo hostel,kwa wajuzi zaidi wa biashara ya aina hii je maeneo hayo yanaweza kulipa kweli?,tayari nini photocopy machine CANON IR 3300 yenye uwezo wa kuprint,computer na printer vyote ninavyo,kama nitapata ushauri zaidi nitashukuru sana