Nataka kufungua stationery

Nataka kufungua stationery

WA KISHUA

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
365
Reaction score
130
Wakubwa Zangu Shikamooni, Wadogo zangu Marahaba, Nahitaji Msaada kidogo wa kibiashara, Nataka kufungua Stationery, Je ni Kiasi yaan minimum Ambayo nayoweza nikaanza nayo kufungulia Biashara? nawasilisha
 
Wewe ungesema una sh.ngapi ndio tukushauri.........
 
Back
Top Bottom