Nataka kufuta wosia niliondika nikifa nitajizika mwenyewe

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,265
Reaction score
20,526
Hii ilitokana na stress na dipreshen Kali sana iliyonikumba 2017/18 kwasababu binafs sitaziweka hadharani. Na kupelekea kuandika wosia nikifa nitajizika mwenyewe kenge yoyote asithubutu kujaribu kunizika.

Ila nimekaa nikatafari nimeamua niufute huu wosia.

Ilikuwa hali ya mihemko ikapelekea hii sintomfaham ya mental shakeup.

Am back

Nyau de adriz
 
Kweli ulikuwa na Depression .
Pole Kamanda.

Ila hata usipoufuta. Ukifa watakuzika tu.
Wosia unaoangaliwa ni wa Mali au uzikwe wap na sio usizikwe.

Mjomba wangu last year alifariki na alikuwa ameandika wosia kuwa Kanisa lake la Kilokole ndio litamzika, (amegombana na Dada zake - mama zetu)sasa kanisa halina eneo na wakasema bas azikwe makabur ya manispaa.

Kikao cha ukoo kilikaa na kanisa na kanisa likashindwa na Mjomba tumemzika kwenye mji wake tena kuna watu alisema wasiende msiban kwake, hao watu walikuja na wakazika.

Ukifa huna chako .
Wanaobaki ndio wanaamua hatima yako na vitu, mali, watoto na chochote ulichiacha nyuma
 
Kwa mfano usipoufuta huo wosia,unaweza kutuambia ungejizikaje mwenyewe!

pili,hapa JF sio hadharani,siku nyingine ujisikie huru kutema nyongo zako.kuna kila aina ya watu na misaada humu.

Mwisho nikupe pole kwa uliyopitia.ila fahamu kuwa kisichokuua kisipokulemaza,kitakukomaza!
 
Hii ilitokana na stress na dipreshen Kali sana iliyonikumba 2017/18 kwasababu binafs sitaziweka hadharani. Na kupelekea kuandika wosia nikifa nitajizika mwenyewe kenge yoyote asithubutu kujaribu kunizika.

Ila nimekaa nikatafari nimeamua niufute huu wosia.

Ilikuwa hali ya mihemko ikapelekea hii sintomfaham ya mental shakeup.

Am back

Nyau de adriz
Yesu anakuita akupumzishe mizigo ya stress na depression
“Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha."(Mathayo 11:28-30)
 
Hii ilitokana na stress na dipreshen Kali sana iliyonikumba 2017/18 kwasababu binafs sitaziweka hadharani. Na kupelekea kuandika wosia nikifa nitajizika mwenyewe kenge yoyote asithubutu kujaribu kunizika.

Ila nimekaa nikatafari nimeamua niufute huu wosia.

Ilikuwa hali ya mihemko ikapelekea hii sintomfaham ya mental shakeup.

Am back

Nyau de adriz
Kila siku nasema bange sio dawa ya stress , sasa ona na Mabange yako ila kwa stress zimedunda , Maarass Mongo !!!
 
Mkuu nimeanza kutumia jf niko chalii wa 10+yrs nawewe nilikua nakuona toka kitambo, now niko 3rd floor. Wewe utakua na umri gani?? Si unaikaribia 40??! You have to grow Up sir!
Kuhusu stress oa mwanamke low-key utulie
 
Kweli jamaa Maghayo ni wa kitambo jukwaani tokea 2014 nipo darasa la 7 , lakini Maghayo ndio yule yule .

Halafu nilimshauri sasa linakuwa Zee lipo lipo kama Barbarian huko Mamtoni halina hata familia halafu age ishaenda lakini bado anaendekeza U gangster

Cc : The Mongolian Savage
 
Mkuu nimeanza kutumia jf niko chalii wa 10+yrs nawewe nilikua nakuona toka kitambo, now niko 3rd floor. Wewe utakua na umri gani?? Si unaikaribia 40??! You have to grow Up sir!
Kuhusu stress oa mwanamke low-key utulie
Am 36
 
Hii ilitokana na stress na dipreshen Kali sana iliyonikumba 2017/18 kwasababu binafs sitaziweka hadharani. Na kupelekea kuandika wosia nikifa nitajizika mwenyewe kenge yoyote asithubutu kujaribu kunizika.

Ila nimekaa nikatafari nimeamua niufute huu wosia.

Ilikuwa hali ya mihemko ikapelekea hii sintomfaham ya mental shakeup.

Am back

Nyau de adriz

Mungu kakupa pumzi
Unadunda tu Ardhi ya Mola hii na kuona unaweza kujizika😂😂
Acha kufuru janjajanja arts.
 
Back
Top Bottom