The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Kweli ulikuwa na Depression .Hii ilitokana na stress na dipreshen Kali sana iliyonikumba 2017/18 kwasababu binafs sitaziweka hadharani. Na kupelekea kuandika wosia nikifa nitajizika mwenyewe kenge yoyote asithubutu kujaribu kunizika.
Ila nimekaa nikatafari nimeamua niufute huu wosia.
Ilikuwa hali ya mihemko ikapelekea hii sintomfaham ya mental shakeup.
Am back
Nyau de adriz
Yesu anakuita akupumzishe mizigo ya stress na depressionHii ilitokana na stress na dipreshen Kali sana iliyonikumba 2017/18 kwasababu binafs sitaziweka hadharani. Na kupelekea kuandika wosia nikifa nitajizika mwenyewe kenge yoyote asithubutu kujaribu kunizika.
Ila nimekaa nikatafari nimeamua niufute huu wosia.
Ilikuwa hali ya mihemko ikapelekea hii sintomfaham ya mental shakeup.
Am back
Nyau de adriz
Kila siku nasema bange sio dawa ya stress , sasa ona na Mabange yako ila kwa stress zimedunda , Maarass Mongo !!!Hii ilitokana na stress na dipreshen Kali sana iliyonikumba 2017/18 kwasababu binafs sitaziweka hadharani. Na kupelekea kuandika wosia nikifa nitajizika mwenyewe kenge yoyote asithubutu kujaribu kunizika.
Ila nimekaa nikatafari nimeamua niufute huu wosia.
Ilikuwa hali ya mihemko ikapelekea hii sintomfaham ya mental shakeup.
Am back
Nyau de adriz
Huyo dishi limeyumba mkuu usihangaike nae ni madhara ya bange hayo.Ni mzima wa akili kweli wewe?
Kweli jamaa Maghayo ni wa kitambo jukwaani tokea 2014 nipo darasa la 7 , lakini Maghayo ndio yule yule .Mkuu nimeanza kutumia jf niko chalii wa 10+yrs nawewe nilikua nakuona toka kitambo, now niko 3rd floor. Wewe utakua na umri gani?? Si unaikaribia 40??! You have to grow Up sir!
Kuhusu stress oa mwanamke low-key utulie
Am 36Mkuu nimeanza kutumia jf niko chalii wa 10+yrs nawewe nilikua nakuona toka kitambo, now niko 3rd floor. Wewe utakua na umri gani?? Si unaikaribia 40??! You have to grow Up sir!
Kuhusu stress oa mwanamke low-key utulie
Am 24 Maarass!!!Am 36
Hii ilitokana na stress na dipreshen Kali sana iliyonikumba 2017/18 kwasababu binafs sitaziweka hadharani. Na kupelekea kuandika wosia nikifa nitajizika mwenyewe kenge yoyote asithubutu kujaribu kunizika.
Ila nimekaa nikatafari nimeamua niufute huu wosia.
Ilikuwa hali ya mihemko ikapelekea hii sintomfaham ya mental shakeup.
Am back
Nyau de adriz
AiseeeAm 36
Janjajanja arts The Mongolian Savage unaitwa na YesuYesu anakuita akupumzishe mizigo ya stress na depression
“Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha."(Mathayo 11:28-30)