Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,901
- 1,511
Nchi nne kwa upana mkuu sio urefuHuoni kwamba hizo nchi nne ndio zita kwenda nyingi sana?
Hope umeelewa ila unajifanya unakijua kiswahili sanaBora ungefyatua, ila kufyetua nadhani ni changamoto.
Kama huna jibu nyamaza tuuKuna aina nyingi za uzio, kuna watu wanaweka fence wanapanda mochongoma au maua
Angalia unayomudu kwa sasa
Urefu inch 8Nchi nne kwa upana mkuu sio urefu
Mimi sio fundi.... ila mafundi wapo...Urefu inch 8
Upana inch 4
Sio mbaya mkuu fundi unae au unafyatua na kujenga mwenyewe huo ukuta?
Ndio unaongea na fundiMimi sio fundi.... ila mafundi wapo...
Kwani kufyetua ndio nini?Hope umeelewa ila unajifanya unakijua kiswahili sana