Pre GE2025 Nataka kugombea Ubunge mwaka huu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mriringa

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
663
Reaction score
714
Awali ya yote nawasalimu katika jina la Mungu Baba wa Mbinguni na amani ya Bwana wangu iwe pamoja nanyi.

Mimi kama kijana wa miaka 35 mwenye shahada ya kwanza ya Uchumi na ni mtumishi wa Umma nimeamua kuingia kwenye siasa na nitagombea ubunge mwaka huu kwaani sababu za kugombea ninazo na uwezo wa kupambana ninao ila kwenu wazoevu naomba mawazo yenu kulingana na sababu zangu za kugombea.

1. Kuteta mapinduzi ya kiuchumi jimboni kwa kutafuta wawekezaji kwenye sekta za kilimo cha umwagiliaji ikiwa ni pamoja na kujenga viwanda vya kusindika mazao shamba .

2. Kusogeza huduma za kijamii zenye ubora hasa afya maji na elimu.

3. Kuimarisha huduma za mawasiliano hasa barabara na simu kwaani jimbo tarajiwa Kuna vijiji havina uhakika wa mawasiliano ya simu na hakuna juhudi inayofanywa na Mbunge wetu na mbaya zaidi misitu inateketea kwa kupasua mbao ila hakuna shukrani inayorudi kwa jamii inayolinda misitu hiyo miaka yote na kwa lugha rahisi Jimbo halina mtu sahihi wa kutetea maslahi ya jamii.

4. Kuuongeza udhubutu au kubadili mtazamo kwa vijana ambao wanaamini siasa ni kwa wazee na sio vijana ikiwa ni pamoja na kuogopa kurogwa.

Ninayo mengi kichwani ila nadhani hayo ndiyo ya msingi hasa kuimarisha huduma mhimu za kijamii katika Jimbo lenye Kila kitu ila huduma ni mbaya kwa sababu hakuna mtu sahihi wa kuzisemea.
Naombeni mawazo na ushauri kutoka kwenu ili nijue naingia kwa GIA gani hasa kwenye CHAMA.
 
Unagombea Kwa tiketi ya chama kipi? Kama ni CCM je huyo mbunge ana ushawishi gani ndani ya chama maana kama ni CHAWA wa wakuu lazima watakutolea nje, gombea Kwa tiketi ya upinzani na Mungu atakusaidia
 
Kwakuwa tunatambua jukumu la mbunge ni kuuwakilisha umma wa jimbo lake katika Bunge la JMT. Wewe kama mtia nia katika jimbo X, hebu fafanua ni kwa namna gani utazipatia ufumbuzi sababu kuu nne tajwa hapo juu zinazopelekea wewe kutia nia.
 
Kwakuwa tunatambua jukumu la mbunge ni kuuwakilisha umma wa jimbo lake katika Bunge la JMT. Wewe kama mtia nia katika jimbo X, hebu fafanua ni kwa namna gani utazipatia ufumbuzi sababu kuu nne tajwa hapo juu zinazopelekea wewe kutia nia
Nashukuru.
Kwanza kabisa nitaanza kuzitumia fursa zinazopataikana kiurahisi kwenye maeneo ya vijiji kwa kushirikiana na uongozi wa eneo Hilo. Mfano wilaya ya Mufindi ni wilaya yenye mito mingi isiyokauka hivyo nitatafuta mwekezaji wa kusambaza maji kwenye maeneo hayo kwa mkataba wa masharti nafuu kwa mtumia maji.

Pili kwenye uvunaji wa msitu wa miti ya SAO HILL asilimia ya uvunaji itaenda Moja kwa Moja kwenye ukarabati wa barabara kama sio kuweka lami.

Tatu, kwa kuwa fursa za ardhi zipo ningekaribisha wawekezaji wakubwa kwenye maeneo hayo kwa masharti ya kusaidia kuboresha huduma za jamii hasa Afya na elimu.

Nne ningeunganisha wasomi wote kutoka Jimbo Hilo ili kubadirishana mawazo kama fursa pia kwaani naamini Kuna jambo positive lingefanyika ikiwa ni pamoja na kuokoa kizazi kijacho kwenye suala la ajira.
 
Nitagombea udiwani, nia nigombee u-mayor. Sijui kama kuna kutoboa kweli au lahh.
Imani kwanza mengine ni matokeo. So nakuombea kwa Mungu ukatimize haja ya moyo wako mkuu
 
Safi sana Mkuu.

Tuko pamoja, mimi pia kuna jimbo naenda kuchukua kwa ajili ya kuleta maendeleo ambayo yamecheleweshwa kwa takriban miaka 60.
 
Umesha andaa team ya propaganda.?

Anza na kuandaa team ya propaganda ambayo itafanya yule mbunge akiyepo madarakani apoteze ushawishi Kwa wapiga kura ambao ni wajumbe.
 
Awali ya yote nawasalimu katika jina la Mungu Baba wa Mbinguni na amani ya Bwana wangu iwe pamoja nanyi.

Mimi kama kijana wa miaka 35 mwenye shahada ya kwanza ya Uchumi na ni mtumishi wa Umma nimeamua kuingia kwenye siasa na nitagombea ubunge mwaka huu kwaani sababu za kugombea ninazo na uwezo wa kupambana ninao ila kwenu wazoevu naomba mawazo yenu kulingana na sababu zangu za kugombea.

1. Kuteta mapinduzi ya kiuchumi jimboni kwa kutafuta wawekezaji kwenye sekta za kilimo cha umwagiliaji ikiwa ni pamoja na kujenga viwanda vya kusindika mazao shamba .

2. Kusogeza huduma za kijamii zenye ubora hasa afya maji na elimu.

3. Kuimarisha huduma za mawasiliano hasa barabara na simu kwaani jimbo tarajiwa Kuna vijiji havina uhakika wa mawasiliano ya simu na hakuna juhudi inayofanywa na Mbunge wetu na mbaya zaidi misitu inateketea kwa kupasua mbao ila hakuna shukrani inayorudi kwa jamii inayolinda misitu hiyo miaka yote na kwa lugha rahisi Jimbo halina mtu sahihi wa kutetea maslahi ya jamii.

4. Kuuongeza udhubutu au kubadili mtazamo kwa vijana ambao wanaamini siasa ni kwa wazee na sio vijana ikiwa ni pamoja na kuogopa kurogwa.

Ninayo mengi kichwani ila nadhani hayo ndiyo ya msingi hasa kuimarisha huduma mhimu za kijamii katika Jimbo lenye Kila kitu ila huduma ni mbaya kwa sababu hakuna mtu sahihi wa kuzisemea.
Naombeni mawazo na ushauri kutoka kwenu ili nijue naingia kwa GIA gani hasa kwenye CHAMA.
Hayo yote sio kazi za mbunge sijui utatoa wapi pesa za kufanya hayo yote
 
Safi sana Mkuu.

Tuko pamoja, mimi pia kuna jimbo naenda kuchukua kwa ajili ya kuleta maendeleo ambayo yamecheleweshwa kwa takriban miaka 60.
Pamoja mkuu. Vijana hatupaswi kuwa waoga wakati fikra za kurejesha matumaini kiuchumi kwenye majimbo yenye fursa ila hayana mtetezi.
 
Awali ya yote nawasalimu katika jina la Mungu Baba wa Mbinguni na amani ya Bwana wangu iwe pamoja nanyi.

Mimi kama kijana wa miaka 35 mwenye shahada ya kwanza ya Uchumi na ni mtumishi wa Umma nimeamua kuingia kwenye siasa na nitagombea ubunge mwaka huu kwaani sababu za kugombea ninazo na uwezo wa kupambana ninao ila kwenu wazoevu naomba mawazo yenu kulingana na sababu zangu za kugombea.

1. Kuteta mapinduzi ya kiuchumi jimboni kwa kutafuta wawekezaji kwenye sekta za kilimo cha umwagiliaji ikiwa ni pamoja na kujenga viwanda vya kusindika mazao shamba .

2. Kusogeza huduma za kijamii zenye ubora hasa afya maji na elimu.

3. Kuimarisha huduma za mawasiliano hasa barabara na simu kwaani jimbo tarajiwa Kuna vijiji havina uhakika wa mawasiliano ya simu na hakuna juhudi inayofanywa na Mbunge wetu na mbaya zaidi misitu inateketea kwa kupasua mbao ila hakuna shukrani inayorudi kwa jamii inayolinda misitu hiyo miaka yote na kwa lugha rahisi Jimbo halina mtu sahihi wa kutetea maslahi ya jamii.

4. Kuuongeza udhubutu au kubadili mtazamo kwa vijana ambao wanaamini siasa ni kwa wazee na sio vijana ikiwa ni pamoja na kuogopa kurogwa.

Ninayo mengi kichwani ila nadhani hayo ndiyo ya msingi hasa kuimarisha huduma mhimu za kijamii katika Jimbo lenye Kila kitu ila huduma ni mbaya kwa sababu hakuna mtu sahihi wa kuzisemea.
Naombeni mawazo na ushauri kutoka kwenu ili nijue naingia kwa GIA gani hasa kwenye CHAMA.
Good luck
 
Unazo za wajumbe? Nasikia akidi imeongezwa
 
Back
Top Bottom