Njoo MWANZASalaam wanajamvi,
Naombeni ushauri wa kina, nataka kuhama jiji la Dsm je niende mkoa gani?
Wenye maisha rahisi, vyakula vya kutosha, niweze kufanya biashara pia kwa maana ya mzunguko wa pesa upo,
Tafadhalini mnishauri kwa upendo, nina vidonda vya tumbo.

Sema kabisa kwamba ni singo madha! Yaani biashara ndogo ndogo uikose Dar uende ukaikute mikoani? Unaumwa wewe siyo bure!Ni mama wa nyumbani anayetaka kuanza maisha mkoa mwengine tofauti na Dsm, anayeweza kufanya biashara ndogo ndogo kujiingizia kipato
Kahama naiwazia sanaaa, ahsante kwa hili, je unaweza ukanipa dondoo zaidi juu ya Kahama au Geita?Njoo geita mji wa dhahabu pesa ipo ya kutosha sehemu ingine inayofanana na hyo ni Kahama na Karatu kwa uchache
Nadhani wewe una kichaa, unayeiona Dar ndio kila kitu, nyie ndo mmetujazia mji wetu, umekua mchafu kwa kukosa kwenu ustaarabu.Sema kabisa kwamba ni singo madha! Yaani biashara ndogo ndogo ukosefu Dar ukaikute mikoani? Unaumwa wewe siyo bure!
Na hili ni tatizo la Watanzania wengi, akili zenu mmezifunga mahala pamoja hamtaki kutoka na kujionea sehemu zingine maisha yanaendaje, kubadili mazingira ni ibada pia.Kama maisha ya dsm yamekushinda I don't think kama kuna mkoa utakuwa rahisi though is possible
Asilimia 80 dar watu wana maisha magumu usiangalie tu kula,kunywa bia na kuwa na kagari maisha ni vile unasonga mbele,una akiba benk n.k...dar mtu unaweza kumuona ana maisha mazuri kama ni muajiriwa akfukuzwa kazi leo mpe mwezi tu anaanza kuuza tugari take nenda mbeyaDar Kuna maisha yote unayoyataka wewe. Ukitaka maisha magumu yapo, ukitaka maisha mepesi yapo. Ni wewe tu mikoani inaenda kufanya nn?
Kama maisha ya dsm yamekushinda I don't think kama kuna mkoa utakuwa rahisi though is possible
Pa kichokoAhsante, tafadhali naomba sifa za Lindi
Naijua Hii😊Wewe ni mwanamke ? Je una mtaji kiasi gani ? Je una ujuzi upi nipe hayo majibu ila zaidi kama ni mwanamke pole sana na vidonda vya tumbo ,mimi ni daktari naaweza kukutibu kama hautajali uje kwanza mbeya nikutibu vidonda vya tumbo alafu ndiyo tuone utaenda mkoa gani badaye .
Kama unaweza kupika chakula kizuri biashara ya restaurant utapiga hela sana wale raia hua hawaulizi bei wanaagiza tu.Kahama naiwazia sanaaa, ahsante kwa hili, je unaweza ukanipa dondoo zaidi juu ya Kahama au Geita?
BIashara ipi inafaa, (bado najitafuta sina mijipesa)
Tamaduni zao,
Gharama za maisha,
N.k
Kaka nimeamua kumtibu bure pasina gharamaNaijua Hii😊
Hakika hakikaKaka nimeamua kumtibu bure pasina gharama
MbeyaSalaam wanajamvi,