Nataka kuhama Hawa nguruwe niwafanyaje? Wateja wanasua sua

Nataka kuhama Hawa nguruwe niwafanyaje? Wateja wanasua sua

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,965
Baada ya kesho kua natakiwa kusafiri ningependa mchango wako wa mawazo katika hili!

Majuzi nimeongea na wateja wanne jana wamekuja wawili mmoja alipowaona akaahidi atafika Leo asubui kuwachukua, hadi sasahivi hajafika.

Mwingine alienda jana jioni akasema wadogo kibiashara Hawezi Chinja.. Wapo wa 3 na wana miezi 7 lakini rate yao ya ukuaji sio nzuri.

Tafadhali naomba ushauri katika hili

NB: Huku sio mzawa na sina mtu wa kumwachia kuwa atawatumikia kwa uaminifu, asanteni.
 
Tafuta mtu umwachie awaangalie kwa muda huku wakikua maana wengi kwa maelezo yako wanataka wakachinje wauze na sio kufuga
 
Wa miezi saba hafai kuchinja? Bosi ulikuwa unawatesa hao wanyama huwapi lishe ya kutosha aisee...huyo mdudu anauzika kirahisi mnooo akiwa na afya
 
Wa miezi saba hafai kuchinja?bosi ulikuwa unawatesa hao wanyama huwapi lishe ya kutosha aisee...huyo mdudu anauzika kirahisi mnooo akiwa na afya
Hapana mkuu shida huku ni baridi sana so rate yao ni ndogo kwa ukuaji
 
Upo wapi? Hakuna vipicha? Wana umri gani jike wangapi nadume wangapi
 
Back
Top Bottom