castieltsar
JF-Expert Member
- Jun 3, 2016
- 1,528
- 2,723
Kweli kabisa mkuu mimi wakwangu alikuwa ni f3 ya camb....ila nimekaa nae miezi saba na nusu mwezi wa nne nilimuuza laki 5 na 20Wa miezi saba hafai kuchinja? Bosi ulikuwa unawatesa hao wanyama huwapi lishe ya kutosha aisee...huyo mdudu anauzika kirahisi mnooo akiwa na afya