kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Aisee Asante kwa ushauriTafuta mtu umwachie awaangalie kwa muda huku wakikua maana wengi kwa maelezo yako wanataka wakachinje wauze na sio kufuga
Hapana mkuu shida huku ni baridi sana so rate yao ni ndogo kwa ukuajiWa miezi saba hafai kuchinja?bosi ulikuwa unawatesa hao wanyama huwapi lishe ya kutosha aisee...huyo mdudu anauzika kirahisi mnooo akiwa na afya
Nipo Iringa Kilolo huku nauza bei niliyochukulia tu 70 per pigUpo mkoa gani chief na unauza bei gan
Nipo iringa kilolo bossEleza uko wapi hasa mkuu
Nipo iringa kilolo mkuuUpo wapi? Hakuna vipicha?wana umri gani jike wangapi nadume wangapi
Pole aisee huko mbaliNipo iringa kilolo uku nauza bei niliyochukulia tu 70 per pig
Duuh! Kilolo Iringa Pig wa 7 months unamuuza 70? Ni aina gani hao? Landrace au? Em tuma picha kwanzaNipo Iringa Kilolo huku nauza bei niliyochukulia tu 70 per pig
Hii si ni bei ya kununulia Fuso? 🤣🤣🤣nauza bei niliyochukulia tu 70 per pig
Miezi 7 alitakiwa umuuze kwa 299,999Nipo Iringa Kilolo huku nauza bei niliyochukulia tu 70 per pig
Mbali kwa kipimo cha kuanzia kutokea wapi mkuu?Pole aisee huko mbali