Nataka kuhama Hawa nguruwe niwafanyaje? Wateja wanasua sua

Wa miezi saba hafai kuchinja? Bosi ulikuwa unawatesa hao wanyama huwapi lishe ya kutosha aisee...huyo mdudu anauzika kirahisi mnooo akiwa na afya
Kweli kabisa mkuu mimi wakwangu alikuwa ni f3 ya camb....ila nimekaa nae miezi saba na nusu mwezi wa nne nilimuuza laki 5 na 20
 
Uko wapi kwanza? Toa location ya mahali ulipo ndio mengine yafuate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…