Hata ukitaka kuhamia Somalia ruksa.Nataka kuhamia Kenya, nishaurini
Kwaiyo humu wanatoa visa au passort ..... au humu ndo stand ya mabus??Nataka kuhamia Kenya, nishaurini
Mkuuu hv vitu vinaboa mnoTanzania ni chi yenye laana hakuna kinachofanyika isipokuwa maneno na ubabe, kuweka jiwe la msingi kwenye chanzo cha maji nyamazugo sengerema, raisi anatoka dar anatumia mamilioni. Dah, nchi inalaana.
Nakushauri kachukue nauli yako kwa ma[emoji357] and upande bombardier [emoji53]Nataka kuhamia Kenya, nishaurini