Nataka kuhamia Kenya,

Nataka kuhamia Kenya,

Tanzania ni chi yenye laana hakuna kinachofanyika isipokuwa maneno na ubabe, kuweka jiwe la msingi kwenye chanzo cha maji nyamazugo sengerema, raisi anatoka dar anatumia mamilioni. Dah, nchi inalaana.
 
Mkuuu hv vitu vinaboa mno
 
Maisha tunayoishi wabongo ni utalii tosha kabisa.
Tukiwasimulia wazungu lazima waje kufanya utalii wathibishe maana maisha yetu kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuishi...na akili hizo ni za viongozi wetu madereva wa nchi hii...
 
Back
Top Bottom