Duh mkuu hii mbona mtelemko sana.Kibamba ni rahisi tu maana sikuhizi kuna mwendokasi.
Ila pia daladala mpaka mbezi huwezi kosa siti. Ni chap tu barabara ni pana. Upepo mwanana kabisa joto huanzia mbezi kivanda cha mkaa.
Vyumba vya kibachela simple sana.
1 room 50-80
2 rooms 200-400
1 room ,dinning na jiko 80-150.
Very smart houses ukitulia ukitafuta.
Mji kama unamwaga mkojo fasta tu.
Kuna kibamba ccmDuh mkuu hii mbona mtelemko sana.
Je Kibamba ipi ni nzuri maana napofahamu ni Kibamba shule kwa mbali tu nikienda kibaha?
Na kama una namba ya dalali nisaidie
Sawa mkuu I appreciate msaada wako 🙏Kuna kibamba ccm
Kibamba njiapanda
Kibamba hospitali
Ni wewe na chaguzi dalali kwakweli kwanza urahisi uende unapopataka utapata tu dalali.
Mwambie na mengine kibamba ni kijijini network shidaKibamba ni rahisi tu maana sikuhizi kuna mwendokasi.
Ila pia daladala mpaka mbezi huwezi kosa siti. Ni chap tu barabara ni pana. Upepo mwanana kabisa joto huanzia mbezi kivanda cha mkaa.
Vyumba vya kibachela simple sana.
1 room 50-80
2 rooms 200-400
1 room ,dinning na jiko 80-150.
Very smart houses ukitulia ukitafuta.
Mji kama unamwaga mkojo fasta tu.
Hayo yako sasa mimi siyajui. Mwambie mwenyewe. Mimi nayoyajua tayari nimemwambia .Mwambie na mengine kibamba ni kijijini network shida
Asante mkuu, naomba nisaidie mawasiliano ya madalali kama unayo.Karibu kibamba mm nilitoka nyimbani nokaja kuanzisha maisha kibamba nashukuru Mungu sihaba maisha Yana kwenda upepo safi mazingira safi Mimi naishi kibamba shule hondogo kunako tegemewa kuja kujengwa chuo Cha veta wilaya ya ubungo
Wewe unataka uishi kibamba ipi Mimi naishi kibamba shule sehemumoja Ina itwa Tanki la maji kwa hiyo madalali ninao wajuwa ni WA kibamba shuleAsante mkuu, naomba nisaidie mawasiliano ya madalali kama unayo.
Popote pale hata uko nakaa ilimradi zisiwe KM nyingi kutoka barabarani.Wewe unataka uishi kibamba ipi Mimi naishi kibamba shule sehemumoja Ina itwa Tanki la maji kwa hiyo madalali ninao wajuwa ni WA kibamba shule
Hujui pia mvua zikinyesha barabara zinafungwa huko?Hayo yako sasa mimi siyajui. Mwambie mwenyewe. Mimi nayoyajua tayari nimemwambia .
Mwambie na mengine kibamba ni kijijini network shida