KASULI
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 599
- 677
Kwanza naomba ni declare interest kuwa mimi ni Mwalimu mwenye degree, mwenye kupenda maendeleo na Kipat0 kinachoendana na kazi yangu. Na sina connection
Kituo changu cha kazi ni Halmashauri iliyopo kusini mwa Tanzania. Shule yangu iko mjini chini ya wizara ya TAMISEMI
Nimekuwa interested kufanya kazi pale changamoto kubwa kwangu ni kwa namna gani naweza kuwa mfanyakazi wa ile Shule. Niko tayri kujihamisha kutoka nilipo mpaka mkoa wa Dar Es Salaam.
JamiiForum ni kama bahari natumaini kuna mtu umu anafnya kazi pale lakini pia kuna ambao wanaweza kuwa na ufaham nawezaje kufanikisha hili au wana connection na mhusika wa Pale.
Kwa chochote mfano mawasiliano DM iko wazi
Asnten
Mwalimu