Eliud Bunju
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 356
- 666
Kweli Kaka nimeweka oda Tyr ya gril za madirisha na milango WA mbele na nyuma. Nikiweka gril natia nyavu na rafu floor nahamiaendelea kulipa kodi uliko, usihamie bila kuweka grills na kuziba na wavu kuzuia mbu,
unawajua culex, aedes na anopheles ?
Kataa Malaria na Dengue
Nmefanya hivo naweka magril kwanzaHongera kwa hatua nzuri
Achana na choo cha kukaa weka floor tiles za public toilet na choo cha kuchuchumaa. Weka grils nyumba yote.
Tafuta wavu weka madirishani na grills za mbele na nyuma.
Milango ya ndani weka mapazia. Mlango wa choo tafuta vipande vya bati naamini kunavilivyobaki. Ukiwa na mbao 2 za 4x2 biashara inaisha.
Hamia, hapa utakuwa na nyumba nzima hata ukiwa na mgeni wa dharura utaweza kumpokea.
Kutokea hapa nenda mwendo wa pole
Ni experience yangu binafsi niliyopitia
DaahNmeezeka nyumba yote lakini milango na madirisha naona bajeti yangu bado ndogo sana
Nipo na laki 8 mfukoni mawazo yananiambia nimalizie master bedroom nipige gypsum roof floor na plaster na Choon sink la kukaa then ntafurah solar
Naombeni usharudi wenu kwasabb fundi wa gril kaniambia nitafute laki 9 atanipigia milango ya mbele na nyuma na madirisha yote.
Sasa hapa nawaza usiku kucha nipige madirisha na milango ya nje halafu nisubili pesa nyingne nisihamie sasa hivi au nikarabati chumba kimoja halafu nihamie ili nimalizie nikiwa palepale kwangu.
Nmeezeka nyumba yote lakini milango na madirisha naona bajeti yangu bado ndogo sana
Nipo na laki 8 mfukoni mawazo yananiambia nimalizie master bedroom nipige gypsum roof floor na plaster na Choon sink la kukaa then ntafurah solar
Naombeni usharudi wenu kwasabb fundi wa gril kaniambia nitafute laki 9 atanipigia milango ya mbele na nyuma na madirisha yote.
Sasa hapa nawaza usiku kucha nipige madirisha na milango ya nje halafu nisubili pesa nyingne nisihamie sasa hivi au nikarabati chumba kimoja halafu nihamie ili nimalizie nikiwa palepale kwangu.
Kwani huko unakoishi sahivi Kodi imeisha? Unaweza kujitafutiza kidogo kidogo ukamilishe Chumba hiko kimoja then unahamia huku unabangaiza kumalizia nyumba yote ukiwa kwako.
Sometimes huwa ni amani sana kuishi kwako kuliko nyumba za kupanga.
Hahahahaha...............hizi Tozo tumekubali wenyewe kuwa MakondooNchi yenyewe ya tozo unataka amani ya nini [emoji28]
Umefukuzwa unakopanga?Nmeezeka nyumba yote lakini milango na madirisha naona bajeti yangu bado ndogo sana
Nipo na laki 8 mfukoni mawazo yananiambia nimalizie master bedroom nipige gypsum roof floor na plaster na Choon sink la kukaa then ntafurah solar
Naombeni usharudi wenu kwasabb fundi wa gril kaniambia nitafute laki 9 atanipigia milango ya mbele na nyuma na madirisha yote.
Sasa hapa nawaza usiku kucha nipige madirisha na milango ya nje halafu nisubili pesa nyingne nisihamie sasa hivi au nikarabati chumba kimoja halafu nihamie ili nimalizie nikiwa palepale kwangu.
Kumbe ulishafanya maamuz tayar sa unataka nnKweli Kaka nimeweka oda Tyr ya gril za madirisha na milango WA mbele na nyuma. Nikiweka gril natia nyavu na rafu floor nahamia