Yap! Ngoja nikaribishe mgeni
Mshahara wa mtu huu.Frame nzuri ina-range Kati ya 800k- 1.5M
Mfano lile jengo jipya linalotazamana na msikiti wa Idrisa frame pale 900k
Mpe maelekezoYap! Ngoja nikaribishe mgeni
Sema frame za juu nafuu! Changamoto yake ndo vle tena promo nyingi unaweka kispika dirishaniMshahara wa mtu huu.
Hapo anza na goli mkuu,,fremu hutaweza kwa mtaji huoHeri ya mwaka mpya wanajamvini[emoji7][emoji7]
Niende moja kwa moja kwenye point… nina 10m itaweza kutosha kuingia kkoo??
Mawazo ya biashara ni
1. Chupi na sidiria, night dresses
2. Cosmetics
Naomba kuuliza frame za kawaida zinarange sh ngapi?? Na mtaji kiasi gani
Au mwenye wazo tofauti please
Kuna mtu kanishauri niende china lakini kwa mwanzo kwenda huko naona bado
900k kwa mwezi?Frame nzuri ina-range Kati ya 800k- 1.5M
Mfano lile jengo jipya linalotazamana na msikiti wa Idrisa frame pale 900k
Taarifa nzuri hii mkuu, shukrani.Frame nzuri ina-range Kati ya 800k- 1.5M
Mfano lile jengo jipya linalotazamana na msikiti wa Idrisa frame pale 900k
Za chini inaweza kuwa bei gani mkuu au hazipatikani?Sema frame za juu nafuu! Changamoto yake ndo vle tena promo nyingi unaweka kispika dirishani
kawaida sana mkuu hio na hizo ni zile sehemu zenye biashara zilizochangamka900k kwa mwezi?
Kama inalipa biashara kwa eneo hilo basi faida ni 5m km kodi tu ni 900kkawaida sana mkuu hio na hizo ni zile sehemu zenye biashara zilizochangamka
Mkuu mpaji simshauri aanze na fremu ya bei hii.Frame nzuri ina-range Kati ya 800k- 1.5M
Mfano lile jengo jipya linalotazamana na msikiti wa Idrisa frame pale 900k
Inapatikana kaka sema nyingi zina-range 800k mpaka 1.5M, kama huna haraka unalipia wakati ujenzi unaendelea mfano pale msimbazi B karibu na office za star times kuna ujenzi unaendelea unaongea na wahusika unatia pesa kabla hapajaanza kugombaniwa au pale karibu na sandaland Kuna ujenzi umeanza unalipia mapema hii wanafanya wale ambao hawana haraka na hawataki frame za ndaniZa chini inaweza kuwa bei gani mkuu au hazipatikani?