Fintan20
JF-Expert Member
- Dec 17, 2023
- 213
- 556
Mkuu mpaji simshauri aanze na fremu ya bei hii.Frame nzuri ina-range Kati ya 800k- 1.5M
Mfano lile jengo jipya linalotazamana na msikiti wa Idrisa frame pale 900k
Zipo fremu za 600k kwa kuwa bado anaanza aanzie hapo, ili azoee kwanza na kuona
Mkuu 10m.Heri ya mwaka mpya wanajamvini[emoji7][emoji7]
Niende moja kwa moja kwenye point… nina 10m itaweza kutosha kuingia kkoo??
Mawazo ya biashara ni
1. Chupi na sidiria, night dresses
2. Cosmetics
Naomba kuuliza frame za kawaida zinarange sh ngapi?? Na mtaji kiasi gani
Au mwenye wazo tofauti please
Kuna mtu kanishauri niende china lakini kwa mwanzo kwenda huko naona bado
Kama unataka ingia fremu na process zingine kutakuwa na insufficient kwa kiasi Fulani.
Most utalipa miezi 12
Let's say unachukua fremu ya 600k_ 700k
600000×12= 7,200,000
Unabaki 2.8M
Mkuu hiyo pesa unaweza nunua mzigo kwa wachina pale pale.
Ila bado ni pesa ndogo.