nguvumali
JF-Expert Member
- Sep 3, 2009
- 4,924
- 1,334
Kigogo hatupaswi kuwaogopa Wachawi, ukianza kuingiwa roho ya wogo,ooh umekwisha.teh teh huyu anatafuta kutolewa mshipa ....we muache ajishauwe tu ..anathubutu kutaka kuchukua fomu kwenye jimbo la Mzindakaya???hahaaaa