FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Ex- Fisadi na wachangiaji wengine
Kwangu, naona mawazo yenu, ni mazuri mno. Nilitarajia kwamba nitapata changamoto ya kutosha kwenu. Ninathamini mawazo yenu yote. Hata hivyo special thanks to Ex-Fisadi, ninahitaji comments zitakazo nipatia changamoto kama za huyu ndugu. Comments za kina zitanisaidia, kufanya SWOT analysis (Stregth, Weaknesses, Opportunity and Threat) Analysis. Mawazo yenu ni changamoto nzuri ya kuelekea kutimiza ndoto yangu. Ninaendelea kupata mahali pa kuanzia. Tafadhali kwa wale watakaopenda kunitumia Private Mesage (PM) wafanye hivyo. Email yangu ni twamlaula@gmail.com
Ninaomba muendelee kuachilia vitu. Ninataka mmwage mapungufu yote, mnayoyaona kwangu. Ndiyo maana nimejiweka wazi ili nipate maoni yenu. Niko tayari nipokee kila kitu ambacho mtasema, ili nianza kukifanyia kazi. Pale nitakapo yafahamu mapungufu yangu vyema, ndipo nitafahamu namna ya kuanza kusogeza mguu mbele.
Nimatumaini yangu kwamba nitapokea PM kutoka kwa Ex-Fisadi na wengineo.
Kamwe siogopi uchawi, na hauwezi kunifanya lolote. Hakuna uchawi juu yangu, soma Hesabu 23:23 (Biblia takatifu). Big up to First Lady1 and nguvumali.
Abraham Lincoln " If you give me six hours to chop down the tree, i will spend the first four hours sharpening an axe"
jamani wewe sisi tutakukosoaje wakati hatukujui,hatujui sera zako
kwa kifupi hatuna personal profile ya kwako inakuja kweli ?????