The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Mzuqa wanajamvi,
Aiseee chalii zangu wanaJF nimewasiliana na baadhi ya watu Thailend na Bangladesh kuhusu kushona hizi jezi za Aston Villa. Inawezekana aiseee.
Ninampango wa kushusha container la futi arubaini iliyosheheni jezi ya hii klabuya kipekee ambayo kijana wetu kipenzi national treasure Mbwana Samatta anaichezea.
Bado niko kwenye harakati za mawasiliano na hawa wadau. Kwa iyo nawaomba muwe wavumiliu mchakato ukiendelea. Hii container moja ni majaribio tu kama ikitiki nashusha mzigo mzito wa container 5. Na zoezi litaendelea bila kikomo ili kila mzalendo apate Jersey ya kijana wetu mesaya wa Aston villa.
Tuombeane uzima tu Mesaya wa Aston villa atakavoivusha Salama AVFC na hatimae kutwaa ubingwa wa EPL msimu ujao.