Nataka kujenga naomba kujuzwa gharama za mambo haya

Nataka kujenga naomba kujuzwa gharama za mambo haya

brave Mwafrika

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2019
Posts
247
Reaction score
135
Naomba kujua ndugu zangu,

idadi ya MATOFARI, MABATI, MBAO, NA CEMENT, Ambayo yataniwezesha kumaliza ujenzi wa vyumba viwili na sebule.
 
Unatumia tofali gani?
Upo mkoa gani?
Tembelea hardware za karibu utapa bei ya vifaa vya ujenzi
Ila vifaa zimependa Sana.
Ila usiogope kuanza.
 
Back
Top Bottom