Nataka kujifunza kichina

Nataka kujifunza kichina

Bakari,很高兴认识你我会联系你[emoji16]
下午好,ndugu Peter.我是上海外国语大学斯瓦希里语专业的学生,我的斯瓦希里语名字叫Bakari.我上大学三年级那年,也就是2020-2021年,我要去坦桑尼亚达累斯萨拉姆大学做交换生。如果有空余时间的话,我想去你的汉语学校兼职做老师。(我是地地道道的中国人)
听说你现在仍在成都,我们可以谈谈这件事。我的QQ:2415632442微信:gbh2415632442
祝你学习进步,工作顺利。
 
Nenda pale UDSM, karibu na udbs... Utapata maelezo yote... Hata mm nina plan ya kujifunza.
NINAVYOFAHAMU NI KUWA KWA WALE AMBAO TAYARI NI REGISTERED STUDENTS WA UDSM NDIO WANA FURSA HIYO YA BURE NA WA NJE WANALIPIA ADA/FEE MAALUMU KUPATA HUDUMA HIYO.I HAVE SOME FRIENDS WA NJE WALIOSOMA PALE NA HAIKUWA FREE NA PIA I HAVE ALSO STUDENTS FRIENDS WALIO NA WANAOSOMA BURE UNDER THE UMBRELLA OF REGISTRATION QUALIFICATION.
 
Jmn wanandugu habari zenu naomba msaada wenu nataka kujua na kujifunza kichina ni WAP naweza kujifunza kichina icho maana kuna Siku nlisikia kweny redio kuna chuo wanafundisha bure cha wachina lakin sikuweza kubahatika kusikia jina lake kwa yoyote ambae anajua au kunishaur naomba msaada wenu asanten.

Sent using Jamii Forums mobile app
CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM KINA FURSA HIYO FIKA PALE AU INGIA KWENYE WEB ADDRESS YAO www.udsm.ac.tz PIA UNAWEZA KU GOOGLE MAENEO MAPYA YANAYOTOA FURSA HIYO HAPA NCHINI NA MWISHO UKIFIKA PIA BALOZI ZA UCHINA WATAKUPA LOCATION ZOTE HAPA TANZANIA NA NCHI JIRANI JUU YA WATU WAO WANAOTOA HUDUMA HIYO KILA SEKTA/TAASISI/SHIRIKA N.K
 
Sisi pia tutatoa huduma hiyo mkuu, mwezi wa 7 tunafungua rasmi. Gharama zitakuwa ndogo sana kulinganisha na zile za udsm. Afu pia training center yetu tunaweza kumfata mwanafunzi alipo kwa wale ambao wapo maeneo ya mjini. 谢谢您 karibu Sana [emoji846]

Njoo MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY (MUST) Ni bure kwa mwanafunzi
 
Sisi pia tutatoa huduma hiyo mkuu, mwezi wa 7 tunafungua rasmi. Gharama zitakuwa ndogo sana kulinganisha na zile za udsm. Afu pia training center yetu tunaweza kumfata mwanafunzi alipo kwa wale ambao wapo maeneo ya mjini. 谢谢您 karibu Sana [emoji846]
Naomba nitafute Whatsapp 0758019034
 
Back
Top Bottom