Nataka kujifunza kichina

Bakari,很高兴认识你我会联系你[emoji16]
 
Nenda pale UDSM, karibu na udbs... Utapata maelezo yote... Hata mm nina plan ya kujifunza.
NINAVYOFAHAMU NI KUWA KWA WALE AMBAO TAYARI NI REGISTERED STUDENTS WA UDSM NDIO WANA FURSA HIYO YA BURE NA WA NJE WANALIPIA ADA/FEE MAALUMU KUPATA HUDUMA HIYO.I HAVE SOME FRIENDS WA NJE WALIOSOMA PALE NA HAIKUWA FREE NA PIA I HAVE ALSO STUDENTS FRIENDS WALIO NA WANAOSOMA BURE UNDER THE UMBRELLA OF REGISTRATION QUALIFICATION.
 
CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM KINA FURSA HIYO FIKA PALE AU INGIA KWENYE WEB ADDRESS YAO www.udsm.ac.tz PIA UNAWEZA KU GOOGLE MAENEO MAPYA YANAYOTOA FURSA HIYO HAPA NCHINI NA MWISHO UKIFIKA PIA BALOZI ZA UCHINA WATAKUPA LOCATION ZOTE HAPA TANZANIA NA NCHI JIRANI JUU YA WATU WAO WANAOTOA HUDUMA HIYO KILA SEKTA/TAASISI/SHIRIKA N.K
 
Sisi pia tutatoa huduma hiyo mkuu, mwezi wa 7 tunafungua rasmi. Gharama zitakuwa ndogo sana kulinganisha na zile za udsm. Afu pia training center yetu tunaweza kumfata mwanafunzi alipo kwa wale ambao wapo maeneo ya mjini. 谢谢您 karibu Sana [emoji846]
 
Njoo MBEYA UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY (MUST) Ni bure kwa mwanafunzi
 
Naomba nitafute Whatsapp 0758019034
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…