Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaada juu ya hilo jamani. Nina siku 10 tu ambazo natakiwa kujua kuofelea kwa style zote, kujifunza kuokoa na mbinu tofauti, kupiga mbizi na mengineyo.......

Chukua jiwe kubwa liwe zito sana na kamba ngumu ya manila, kisha funga vizuri hiyo kamba kwenye hilo jiwe na ujifunge kiunoni. Mwambie mvuvi yoyote akupeleke na mtumbwi katikati ya bahari ama ziwa kisha tumbukia huku ukiwa umejifunga na lile jiwe zito, mkuu nakwambia parapanda italia chini ya maji. Nimemaliza na sitaki maswali
Ukitukanwa na wachangiaji utamlaumu nani?
Chukua jiwe kubwa liwe zito sana na kamba ngumu ya manila, kisha funga vizuri hiyo kamba kwenye hilo jiwe na ujifunge kiunoni. Mwambie mvuvi yoyote akupeleke na mtumbwi katikati ya bahari ama ziwa kisha tumbukia huku ukiwa umejifunga na lile jiwe zito, mkuu nakwambia parapanda italia chini ya maji. Nimemaliza na sitaki maswali
aandike na urithi kabisa
Kwani nimekosea kitu gani mkuu ?, inshu sio kutukanana ni kujibu kama niko wrong au vp
ndo ccm ilipotufikisha...Zamaulid......udalali hadi huku?!
Mwenzako pengine anahitaji msaada ila wewe nadhani umefanya utani. Samahani!