Nataka kujifunza kuogelea

Nataka kujifunza kuogelea

Naomba kuuliza wadau, ilikujiunga na team yataifa yakuogelea, kipi kinaitajika? je umri zaidi ya miaka 25
unaweza ukapokelewa?? nawakilisha

Kwanza unatakiwa uwe na rangi kama yangu ya kupandia ndege, kwa huo umri uliosema huwezi pata nafasi. Ungekuwa na vigezo ningekupa details zaidi
 
Back
Top Bottom