Nataka kujifunza kuogelea

hybrido

Member
Joined
Nov 23, 2014
Posts
14
Reaction score
0
Msaada juu ya hilo jamani. Nina siku 10 tu ambazo natakiwa kujua kuofelea kwa style zote, kujifunza kuokoa na mbinu tofauti, kupiga mbizi na mengineyo.......
 
Msaada juu ya hilo jamani. Nina siku 10 tu ambazo natakiwa kujua kuofelea kwa style zote, kujifunza kuokoa na mbinu tofauti, kupiga mbizi na mengineyo.......

Upo wapi? We ni me au ke
 
unashilingi ngapi nikupe mwalimu...mimi ni dalali
 
Ungekuwa moshi ningekufundisha bureee
 
Msaada juu ya hilo jamani. Nina siku 10 tu ambazo natakiwa kujua kuofelea kwa style zote, kujifunza kuokoa na mbinu tofauti, kupiga mbizi na mengineyo.......

Pia Uwe Tayari Kunywa Sana Vikombe.
 
Chukua jiwe kubwa liwe zito sana na kamba ngumu ya manila, kisha funga vizuri hiyo kamba kwenye hilo jiwe na ujifunge kiunoni. Mwambie mvuvi yoyote akupeleke na mtumbwi katikati ya bahari ama ziwa kisha tumbukia huku ukiwa umejifunga na lile jiwe zito, mkuu nakwambia parapanda italia chini ya maji. Nimemaliza na sitaki maswali
 
Ukitukanwa na wachangiaji utamlaumu nani?
 
aandike na urithi kabisa
 
Mwenzako pengine anahitaji msaada ila wewe nadhani umefanya utani. Samahani!

Kama ana akili mpaka hapo nitakuwa nimemsaidia sana, kitendo cha kutembea na mvuvi kweli ashindwe kujua kuogelea
 
Kuogelea ni mazoezi mazuri sana kwa pumzi na unajenga kifua vizuri sana, mikono na mabega, mtu anaweza jua unapiga nondo.

Jitahidi uweze kuogelea ni muhimu sana kwa mtoto wa kiume.

Kwa maelezo haitokuwa rahisi kama ingewezekana ungekuwa karibu na mimi ningekufundisha kivitendo ungeweza haraka sana kuliko nikuelekeze kinadharia itakuwa bado hujaingiza kitu.

Nilichobahatika ni kwamba nilijua kuogelea tangia nilipokuwa mdogo
 
Naomba kuuliza wadau, ilikujiunga na team yataifa yakuogelea, kipi kinaitajika? je umri zaidi ya miaka 25
unaweza ukapokelewa?? nawakilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…