Nataka kujipima mwenyewe HIV, napataje vile vipimo?

Ndio inaitwa reagent kwa ajili ya kucheki kama kuna reaction
Reagent kwa kiswahili ni kitendanishi kwahiyo vifaa vyote ambavyo hutumika kufanya HIV test huitwa reagents japo kila kimojawapo kina jina lake specific..mfano hizo Solutions ambayo hutumika nazo zinatofautiana.
 
Unaweza kuelezea hatua ya kwanza hadi kupata majibu kupitia kifaa hicho?
Ni rahisi sana ndugu.

Baada ya counselling na wewe kuridhia kupimwa basi utachukuliwa damu kwenye kidole chako na kifaa kiitwacho finger priker, baada ya hapo kuna tube ndogo ya kukingia damu ambayo inatumiwa kuhamishia dawa toka kwenye kidole kwenda kwenye kifaa chako cha kupimia.

Kifaa cha kupimia kina maeneo makuu mawili.

Eneo la kwanza unaweka sample yako ya damu ambapo pia utachanganya na reagent ili upate reaction.

Sehemu ya pili ni sehemu ya kusomea matokeo yako kwa njia ya mistari.

Kuna mstari wa Control ambao umeandikwa "C "

Kuna mstari wa kusoma mstari CHANYA ambao ni ni kwamba ina maanisha umeathirika, na kuna mstari wa kusoma matokeo HASI kwamba upo salama ila kwa urahisi kama umefuata hatua zote hizo hapo juu na ukaona kumetokea mstari MMOJA Tu basi tambua wewe uko safi.

Ila ukiona mistari MIWILI imetokea basi haupo salama.

Zingatia muda wa kusoma matokeo kwani ni dakika tano kurudi chini uwe umeshasoma, ukichelewa matokeo yanabadilika na kusoma tofauti either umeathirika au vinginevyo japo inakuwa siyo kweli.

Baada ya kupima rudi baada ya miezi mitatu kama hauna exposure ya maambukizi ila kama unayo exposure basi rudi baada ya mwezi mmoja lazima vidudu vionekane.
 
Reagent kwa kiswahili ni kitendanishi kwahiyo vifaa vyote ambavyo hutumika kufanya HIV test huitwa reagents japo kila kimojawapo kina jina lake specific..mfano hizo Solutions ambayo hutumika nazo zinatofautiana.
Bioline reagent
 
Nyumbani kwako una maabara?

Una sehemu nzuri na salama ya ku-dispose vipe vifaa utakavyotumia?

Utasafisha vipi uki-contaminate mazingira ya hapo utakapojipimia kwa hiyo damu yako?

Utakuwa na moyo wa kuyahimili matokeo yakija ndivyo sivyo?

Na je unajua procedure zote mpaka upate majibu negative au positive?

Waswahili acheni ujuaji we nenda hospitali kapime saaafi uchukue majibu yako urudi kupiga kazi (in sizonje voice)
[emoji23] [emoji23] kachukue balimi kwa mangi naja lipa[emoji85] [emoji18]
 
Wadau naomba msaada, vile vipimo vya kujipima mwenyewe HIV naweza vipata wapi. Nimejaribu kuulizia pharmacy nyingi hawauzi.
Kwanini utake kujipima mwenyewe?nenda kwa wanaohusika acha woga.
 
Ni rahisi sana ndugu.

Baada ya counselling na wewe kuridhia kupimwa basi utachukuliwa damu kwenye kidole chako na kifaa kiitwacho finger priker, baada ya hapo kuna tube ndogo ya kukingia damu ambayo inatumiwa kuhamishia dawa toka kwenye kidole kwenda kwenye kifaa chako cha kupimia.

Kifaa cha kupimia kina maeneo makuu mawili.

Eneo la kwanza unaweka sample yako ya damu ambapo pia utachanganya na reagent ili upate reaction.

Sehemu ya pili ni sehemu ya kusomea matokeo yako kwa njia ya mistari.

Kuna mstari wa Control ambao umeandikwa "C "

Kuna mstari wa kusoma mstari CHANYA ambao ni ni kwamba ina maanisha umeathirika, na kuna mstari wa kusoma matokeo HASI kwamba upo salama ila kwa urahisi kama umefuata hatua zote hizo hapo juu na ukaona kumetokea mstari MMOJA Tu basi tambua wewe uko safi.

Ila ukiona mistari MIWILI imetokea basi haupo salama.

Zingatia muda wa kusoma matokeo kwani ni dakika tano kurudi chini uwe umeshasoma, ukichelewa matokeo yanabadilika na kusoma tofauti either umeathirika au vinginevyo japo inakuwa siyo kweli.

Baada ya kupima rudi baada ya miezi mitatu kama hauna exposure ya maambukizi ila kama unayo exposure basi rudi baada ya mwezi mmoja lazima vidudu vionekane.
Kwahiyo hicho kifaa kinachokuwa na hiyo dawa kikishatumika kinasafishwa kwa dawa au ndo kinatumika mara moja tu na hiyo dawa yake?
 
Ujipime mwenyewe kwani ulijigonga ngozi mwenyewe mwenyewe bila msaada wa mwenzako

Wadau naomba msaada, vile vipimo vya kujipima mwenyewe HIV naweza vipata wapi. Nimejaribu kuulizia pharmacy nyingi hawauzi.
 
Balimi tena sio kwamba unipitie hapa kwa mangi tukipime ili yaliyomo yawemo
Toba[emoji56] [emoji22] [emoji30] huo moyo wa kupokea yaliyomo sijui km ninao.!ngoja nikaucheki kwanza[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Huwezi kuvipata popote zaidi ya hospitali/zahanati na kama utavipata pharmacy basi ni makosa haviuzwi.

Mtafute mfanyakazi wa hospitali itakuwa rahisi kupata.

Daktari/nurse/medical attendants n.k

UNGEKUWA KARIBU NINGEKUSAIDIA JAPO 2 Kits upime we na mwenzio.
Nimeupenda uuungwana wako
 
Back
Top Bottom