Nataka kujitoa muhanga kwenye biashara hii jamani

Mkuu biashara ya poda unalipa soon tu unakua km wao na km utabeba mwenyewe utawashinda kabisa mpunga
 
Biashara yenyewe umeificha ni vigumu kupata ushauri mzuri, funguka aina ya biashara na mazingira ya kuifanyia uchangiwe mawazo.
 
Ni kweli kwa mtaji huo mirungi unafanya bila shida kabisa na hao jamaa kama wataendelea kukunyima ushirikiano kibiashara nitakuunganisha na bashite kazi utapiga,yangu ni hayo tu
 
ndio bodaboda ni kazi haswa ingia tuu tafuta kijiwe kizuri
 
Ifanye tu mkuu,kati ya hio biashara ya kuuza simu used na hio nyingine ya kuchukua mbao kutoka Tabora kama ulivyosema naona ya kuuza simu itakua poa zaidi unaweka na usb etc.
hiyo ya kuuza pa......pu....chi itakufaa zaidi maana wewe mnato
 
hiyo ya kuuza pa......pu....chi itakufaa zaidi maana wewe mnato
Kama hujui tofauti ya neno MNG'ATO Vs MNATO,huoni kama unastahili kuja kunyonya dudu la yuyu mpk umwagiwe na gundi kama bonus dada.
 
Ili mradi tu na wewe upost uzi wako humu
 
mkuu unapokuja kuomba ushauri kwa watu ka kweli unamaanisha katika ulichokileta eleza vizuri watu waelewe utapata watu wakukusaidi ana kukupa mwongozo mzuri ila ukileta uzi kihuni utapata ushauri kihuni, so nextime jitahidi ulete uzi vzuri maana mtu hajui akushauri nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…