fuvu la paka
Senior Member
- Mar 29, 2015
- 133
- 76
Funguka unataka ujitose vipi? Una mtaji? Umelenga kukaa ktk point gani ktk chain ya uzalishaji? Madini gani? ( Vito ama dhahabu)Ndugu zangu wana jamvi, kijana wenu baada ya mapambano makali hapa mjini, nimeamua kujitosa kwenye Madini lakini nimelenga Mkoa wa Mbeya Wilayani Chunya, Najua issues za Madini ni Bahati, na mimi nimeona nikajaribu bahati yangu.
Ninaomba kwa mwenye uzoefu wowote wa Mgodini anipe ili niwe na taarifa fulani kichwani.
Karibuni Wanafamilia wa JF
PIA KAMA UPO CHUNYA TUWASILIANE INBOX
Kama una pesa ya kutosha siyo bahati ni uhakika kabisa.Ndugu zangu wana jamvi, kijana wenu baada ya mapambano makali hapa mjini, nimeamua kujitosa kwenye Madini lakini nimelenga Mkoa wa Mbeya Wilayani Chunya, Najua issues za Madini ni Bahati, na mimi nimeona nikajaribu bahati yangu.
Ninaomba kwa mwenye uzoefu wowote wa Mgodini anipe ili niwe na taarifa fulani kichwani.
Karibuni Wanafamilia wa JF
PIA KAMA UPO CHUNYA TUWASILIANE INBOX
Hata kumiliki sururu na zile tindo zao sijui zinaitwaje itwaje nyundo kubwa sana dili pia ni uwekezaji, viripuzi, nk nkKuwa direct mkuu
Kwani kwenye madini kumbe mbishe mingi hasa chunya.
1.kuchimba
2.kununua
3.kumiliki karasha kwa ajiri ya marudio
4.udalali
5.kujenga Gest za mida kwenye milio
7.kujenga lant au elution n.k
Kama sh ngapi mkuuKama una pesa ya kutosha siyo bahati ni uhakika kabisa.
At least 30 mills.kama sh ngapi mkuu
Dah nikajua mbili tatu nijitose saccossAt least 30 mills.
Hapana hyo haitosh hata gharama za kuosha maana ziko fixeddah nikajua mbili tatu nijitose saccoss
Hela nyingi sana hiyo, kuna maduara ambayo tayari yanazalisha lakini yamesimama kwa kukosa hela ndogo tu, wewe unapewa hisa mnaendelea na uzalishaji.dah nikajua mbili tatu nijitose saccoss
Jibu hii nipate pakuanziaKuwa direct mkuu
Kwani kwenye madini kumbe mbishe mingi hasa chunya.
1.kuchimba
2.kununua
3.kumiliki karasha kwa ajiri ya marudio
4.udalali
5.kujenga Gest za mida kwenye milio
7.kujenga lant au elution n.k
Skushauri kuchimba msee. Nenda kakae huko upate experience ya dhahab ilivyo then anza kununua dhahab iliyopembuliwa tayari, kuchimba unaweza lia mchana kweupe msee. [emoji38][emoji38][emoji38]Nahitaji kuchimba wakuu
Bora ubaki tu kwako..usichimbe..kafukuzie mwalo...wenzako.tumetobolea hukoNahitaji kuchimba wakuu
Sishauri...Hela nyingi sana hiyo, kuna maduara ambayo tayari yanazalisha lakini yamesimama kwa kukosa hela ndogo tu, wewe unapewa hisa mnaendelea na uzalishaji
Eneo gani chunya lenye ppm mzuri kwaajiri ya ukuzaji wa kifusi?Ndugu zangu wana jamvi, kijana wenu baada ya mapambano makali hapa mjini, nimeamua kujitosa kwenye Madini lakini nimelenga Mkoa wa Mbeya Wilayani Chunya, Najua issues za Madini ni Bahati, na mimi nimeona nikajaribu bahati yangu.
Ninaomba kwa mwenye uzoefu wowote wa Mgodini anipe ili niwe na taarifa fulani kichwani.
Karibuni Wanafamilia wa JF
PIA KAMA UPO CHUNYA TUWASILIANE INBOX
Mwalo ndo nini wakuu naomba mnijuzeBora ubaki tu kwako..usichimbe..kafukuzie mwalo...wenzako.tumetobolea huko
Area unayofanyia shughuli zako..utaplace mashine hapo na kuchimba makaro kwaajili ya kuoshea unga ulosagwa ili kupata dhahabu..ndo wanaita mwaloMwal
Mwalo ndo nini wakuu naomba mnijuze