flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,860
- 6,390
Kaka naomba unifundishe shuhuri hiiArea unayofanyia shughuli zako..utaplace mashine hapo na kuchimba makaro kwaajili ya kuoshea unga ulosagwa ili kupata dhahabu..ndo wanaita mwalo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka naomba unifundishe shuhuri hiiArea unayofanyia shughuli zako..utaplace mashine hapo na kuchimba makaro kwaajili ya kuoshea unga ulosagwa ili kupata dhahabu..ndo wanaita mwalo
Mkuu hii shughuli nitadanganya nikisema nikufundishe..hii nakushauri nenda mwenyewe utapata ujuzi..ngumu sana kufundishwa mkuu...huko utaelewa kadri unavyozidi kukaa na kutakabkujua mambo meng ya madinKaka naomba unifundishe shuhuri hii
[emoji3516]Bora ubaki tu kwako..usichimbe..kafukuzie mwalo...wenzako.tumetobolea huko
Nimempa boss[emoji3516]
MPE MWONGOZO FASTA MKUU!!!
At least 30 mills.