Nataka kujitosa kwenye biashara ya madini

Kaka naomba unifundishe shuhuri hii
Mkuu hii shughuli nitadanganya nikisema nikufundishe..hii nakushauri nenda mwenyewe utapata ujuzi..ngumu sana kufundishwa mkuu...huko utaelewa kadri unavyozidi kukaa na kutakabkujua mambo meng ya madin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…