Nataka Kujiunga na "Jesuit Fathers"

Nataka Kujiunga na "Jesuit Fathers"

Vipi kuhusu Hilo Shirika la Jesuits
Mkuu yani unakuwa sio rahisi kusaidika kwasababu hujui jinsi ya kuframe maswali yako ili yalete majibu hata ambayo hukuuliza.

Utafaulu Philosophy kweli kwa maswali haya shallow hivi?
 
Unauliza Kitu Kingine na Mimi nimeuliza Kingine
 
Inategemea uko wapi ila kama upo DSM nenda LOyola pale utapata taratibu za juu ya kujiunga nao au prokia yoyote Tanzania ambayo mapadri wake wanasimamia.
All the best na pia tii sauti ya MUngu inayokuita kuwatumikia watu wake kama una dhamira ya dhati haija;lishi kama uloisoma seminari au lah.ILa lazima watachunguza mienendo ya maisha yako kabla ya kukukubali
 
Effective
 
Karibu... njoo loyola High school gate number 4.. au kama upo dodoma nenda st.peters clever utawakuta kama upo mwanza nenda parokia ya nyakahoja....
Au njoo pm
 
Back
Top Bottom