Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Mkuu yani unakuwa sio rahisi kusaidika kwasababu hujui jinsi ya kuframe maswali yako ili yalete majibu hata ambayo hukuuliza.Vipi kuhusu Hilo Shirika la Jesuits
Swali lako halieleweki ndio maana mkuu nashindwa kukujibuUnauliza Kitu Kingine na Mimi nimeuliza Kingine
EffectiveInategemea uko wapi ila kama upo DSM nenda LOyola pale utapata taratibu za juu ya kujiunga nao au prokia yoyote Tanzania ambayo mapadri wake wanasimamia.
All the best na pia tii sauti ya MUngu inayokuita kuwatumikia watu wake kama una dhamira ya dhati haija;lishi kama uloisoma seminari au lah.ILa lazima watachunguza mienendo ya maisha yako kabla ya kukukubali