Nataka kujiunga na Ualimu

Nataka kujiunga na Ualimu

Kijastibikoz

Member
Joined
May 12, 2015
Posts
6
Reaction score
0
Nimemaliza kidato cha nne, nina C-History,B-Kiswahili na D tatu za masomo megine, nilipata kwa double seating, nahitaji kujiunga na chuo cha mafunzo ya ualimu, je naweza kupata vyuo vya serikali kwa ngazi ya Certificate au kama wadau kuna chuo cha private ambacho naweza kupata kujiunga naombeni mnifahamishe na kama contact zake mnazifahamu, nisaidieni
 
Back
Top Bottom