Nataka kujivua gamba ila.......................

no no washikaji tunadeal na muhuni uyu Mr excelent, atakuwa muhuni uyu pia bandidu, naamini uko bar pia katika Mataarab keshapata jimama / jidemu / Jibibi vijana wanapenda kulelewa hawa sikuizi, anatuzuga tu apa pia anatafuta justification za kumuacha mkewe au kuingiza mke wa pili ilo jimama / jidemu / Jibibi, lakini Mr excellent nakuakikishia utanawa kabla ya kushiba, maana jiandae kudundwa vya kutosha hii mimama ya bar pia ktk taarab mivuta bangi mikubwa lazima litakudunda
 
mke wangu ndo ananifanya nilewe,mi niende baada bila matatizo?
 
ngumu kumeza bhana.,nikimkumbuka mpaka naanza kujikabakaba shingo mwenyewe kwa hasira,lol
Askwambie mtu kamanda, kuna ma mama hayaachiki, unalikuta jimama kwenye yale mambo yetu linapepeta kuliko bendera ya bongo wakati wa kimbunga. Halaf Unaweza ukaliacha ukakumbana na kimwanamke ugwadu kila ukikikoleza kimekutolea mimacho tu kama kimehukumiwa hukumu ya kifo.

Kama mchezo unanoga , komaa nae tu kamanda.
 
Kwani wewe kitandani hauko vizuri? Mpe outing ya Q Bar. Atakachokiona huko atajirudi mwenyewe!

 
Sikiliza ule wimbo wa 'Naogopa kurudi nyumbani mke wangu ni vu vu vuvuzeeelaa'. pole sana mkuu lakini kama walivyosema wengine kama yuko fiti idara nyeti na unatingishiwa mgongo sebuleni usibanduke hapo komaa naye bana.
 
Kwani wewe kitandani hauko vizuri? Mpe outing ya Q Bar. Atakachokiona huko atajirudi mwenyewe!
niko fiti ila sasa nikimpeleka huko baa ndo ataniletea majambazi
 
Sikiliza ule wimbo wa 'Naogopa kurudi nyumbani mke wangu ni vu vu vuvuzeeelaa'. pole sana mkuu lakini kama walivyosema wengine kama yuko fiti idara nyeti na unatingishiwa mgongo sebuleni usibanduke hapo komaa naye bana.
teh teh teh aliyeimba mwenyewe hajapata solution
 

...lol....e bana eeee?

....kuna mtaalamu hapo nakushauri ukaonane nae...khaa?

dah! Mkuu umenichekesha sana. Yale mambo yetu ya mgonjwa ndani mtaalamu anakaa karibu na mlango.
 
unakuta anakufikisha kunako halafu bado anakulisha na matumizi juu dah...huwezi kurevange kauli yake.
 

we utakuwa wa kanda maalumu tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…