Nataka kujivua gamba ila.......................

Hiyo vibration ni bidhaa adimu kamanda,
Tunalipia buku 5,nauli ulevi na gharama kibao kwenda kuangalia vibration 'Kanga moko' sasa jamaa ana Kanga moko nyumbani eti ajivue gamba MWEEH! ukivua tu watu wanavaa same day ndio utaijua Bongo darisalama.
 
mkuu vibration inasisimua tu ila kuna fleva?mbona mi naona tu poa
 
Tunalipia buku 5,nauli ulevi na gharama kibao kwenda kuangalia vibration 'Kanga moko' sasa jamaa ana Kanga moko nyumbani eti ajivue gamba MWEEH! ukivua tu watu wanavaa same day ndio utaijua Bongo darisalama.

Halaf uzuri wa huyu wa excellent anavibrate hata akikasirika, wale kanga moko hawana DNA kama hii kamanda. Hii inaonekana ni made in Congo
 
hehehe u mume b w e g e ni fashen siku hizi hapa mjini kamanda, muhimu ni vibrations tu
teh teh teh mkuu na lazima ujiulize hiyo vibration inasababishwa na nini?nani anampa kichwa!au ana namba ya klorokwini au uproto
hayo ndo mambo ya msingi kujiuliza
 
Halaf uzuri wa huyu wa excellent anavibrate hata akikasirika, wale kanga moko hawana DNA kama hii kamanda. Hii inaonekana ni made in Congo
kwani bila vibration mzuka haupandi?
 
teh teh teh mkuu na lazima ujiulize hiyo vibration inasababishwa na nini?nani anampa kichwa!au ana namba ya klorokwini au uproto
hayo ndo mambo ya msingi kujiuliza

hakyanani hana namba yangu, labda uporoto ndo haaminiki vizuri
 
Muda wangu wa kulala umefika,acha wivu mkuu anakutingishia sebuleni mkiwa wawili hapo hayupo kloro wala Uporoto na umesema mkifika room mtoto kiuno feni(mko wawili tu) TAFAKARI UTULIE.
 
dah basi nitamwambia akufanyie mpango wa ndugu yake mana wote wamejaliwa kuvibrate
 
Muda wangu wa kulala umefika,acha wivu mkuu anakutingishia sebuleni mkiwa wawili hapo hayupo kloro wala Uporoto na umesema mkifika room mtoto kiuno feni(mko wawili tu) TAFAKARI UTULIE.

Mi mwenyewe nalog out kamanda halaf jamaa kanipandisha mzuka basi haka ka ukuta kangu hapa room nimekafananisha na mdada halaf nakaona kama kanatingisha tingisha hivi. Khaaaa!

gudi nite wakuu
 
upototo usiku mwema mkuu,ngoja mi nianze vitendo
 
Mi mwenyewe nalog out kamanda halaf jamaa kanipandisha mzuka basi haka ka ukuta kangu hapa room nimekafananisha na mdada halaf nakaona kama kanatingisha tingisha hivi. Khaaaa!

gudi nite wakuu
Tatizo vibration zao zimeenda collage halafu wapo wengi,......dah usiku mwema pia wakuu
 
Duh! Kuna lile tangazo la Panadol redioni " Maumivu ya homa yanaaaaaaaaaanza Taraaaaatibu!"

Mkuu tafuta matibabu ya huo ugonjwa kabla ujazidiwa na kupelekwa India..... Ugonjwa ukizidi sana atakuletea wanaume humo ndani ya nyumba yako nawe atakupoza kwa mauno ya kitandani kwani anajuwa umezimia kwa hayo mauno ambayo kwa mtazamo wangu unaweza pata mbadala....

Kuna tangazo lingine redioni linasema " Chukua tahadhali SASA!"

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…