Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 594
- 291
Habari wakuu, nina kiwanja changu maeneo ya tegeta kituo cha polisi, kina ukubwa wa 19 kwa 21. Hakijakaa square, kipo flat na hakijai maji.
Kipo karibu na shule ya msingi na kituo cha polisi Tegeta. Gari inafika vizuri. Kutoka barabari ni dakika 5 kwa kutembea kwa miguu.
Sasa nataka nikiuze, kwa wale wenzetu wenye utaalamu na mambo ya upimaji na uuzaji wa viwanja, hiki kiwanja kinaweza kikauzika kwa bei gani? Hakijapimwa bado.