Nataka kujua biashara ya oil chafu

Nataka kujua biashara ya oil chafu

Trona

New Member
Joined
Mar 29, 2023
Posts
2
Reaction score
1
Sasa ivi oil chafu imekuwa bidhaa adimu sana hasa huko kwenye garage za Magari, pikipiki, n.k Nataka kufahamu wanaozinunua wanazipeleka wapi?
 
OIL chafu inarudishwa viwandani na kutengeneza diesel kwa ajili ya matumizi ya mitambo kama majenerata makubwa nk. Lakini pia unajua mjini ni mjini kuna wale wanaochezesha na kuuza tena kama oil safi
 
Asante sana kwa maelezo mazuri
 
Back
Top Bottom