Hahaha sidhani kama ni "waiii" ila nahisi ni ile mtu akisema "woiiii"Haaah kuna kademu flank hivi ka Arusha kalikuwa kanapenda kunambia neno "Waiiiii"....kila nnachosema nikawa sjui chochote kanachomanisha mpaka Leo kameolewa "eti..."
Hako kanafanana na kaisiki kangee nilikuwa nako kure kweitu karikuwa kananiambiaga; Oiyaa nayanga boja. Nikikaambia njoaa au tufanye hivi kananijibu hivyo tu. Ati leo nako kana katotoHaaah kuna kademu flank hivi ka Arusha kalikuwa kanapenda kunambia neno "Waiiiii"....kila nnachosema nikawa sjui chochote kanachomanisha mpaka Leo kameolewa "eti..."
Mimi sijawahi kutumiwa hilo neno, nahisi mwenye jibu sahihi ni yule anayelitumia hilo neno kama vipi mwambie huyo dem wako atusaidie maana yake.
Kwa mimi navyoelewa.
Basic meaning 'eti' sijui maana yake, sina kamusi hapa ila najua conceptual mianing hilo neno linatumika kutoa taarifa ambayo mtoataarifa hakubaliani nayo.
Mfano. Ameninunulia Techno eti
(Hapa dem anawambia marafiki zake kuwa boy wake ni fala atamnunuliaje Techno wakati yeye anataka iPhone)
Kumbe...umenifungua akili kidogoMimi sijawahi kutumiwa hilo neno, nahisi mwenye jibu sahihi ni yule anayelitumia hilo neno kama vipi mwambie huyo dem wako atusaidie maana yake.
Kwa mimi navyoelewa.
Basic meaning 'eti' sijui maana yake, sina kamusi hapa ila najua conceptual mianing hilo neno linatumika kutoa taarifa ambayo mtoataarifa hakubaliani nayo.
Mfano. Ameninunulia Techno eti
(Hapa dem anawambia marafiki zake kuwa boy wake ni fala atamnunuliaje Techno wakati yeye anataka iPhone)
kweli kabisaUkitaka kuzisikia hizo eti eti live nenda Mbeya. Kule kila sentesi lazima imaliziwe na neno "etii"
Eti si kiswshili fasaha ,neno sahihi ni "ati"na maana yake kusema ,anasema amesema yenye kuweka msisitizo wa kejeli.
Mfano "ati nini?"-unasema nini
Hapa si kwamba hukusikia ils unataka msemaji arudie alichokisema ksma vile humuelewi
Waiiii ni km downgrading..Haaah kuna kademu flank hivi ka Arusha kalikuwa kanapenda kunambia neno "Waiiiii"....kila nnachosema nikawa sjui chochote kanachomanisha mpaka Leo kameolewa "eti..."
Waiiii ni km downgrading..