Nataka kujua hili neno 'eti' huwa lina maana gani?

Nataka kujua hili neno 'eti' huwa lina maana gani?

Amani iwe juu yenu..

Naomba kufahamu hili neno "eti" huwa linamaansha nn zaid ktk sentensi kama linavyotumka na baadhi ya wanawake,hususani mkiwa mnachati...
Mfano:-
- nimekumic eti
-sijala eti
-nimechoka eti
-siji eti
Eti,eti,eti ndo nn huwa nahisi kama dharau hv..

Nawasilisha tu..
😅😅
 
Back
Top Bottom