Amani iwe juu yenu..
Naomba kufahamu hili neno "eti" huwa linamaansha nn zaid ktk sentensi kama linavyotumka na baadhi ya wanawake,hususani mkiwa mnachati...
Mfano:-
- nimekumic eti
-sijala eti
-nimechoka eti
-siji eti
Eti,eti,eti ndo nn huwa nahisi kama dharau hv..
Nawasilisha tu..