Nataka kujua jibu la swali hili

Nataka kujua jibu la swali hili

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Hivi Dar es salam ni mkoa kama vile Kigoma, Mwanza, Dodoma na mikoa mingine
Au ni city tu kama vile Kasulu, Kilimanjaro na Cities zingine

Kuhuliza sio ujinga nataka nijue
 
Hivi Dar es salam ni mkoa kama vile Kigoma, Mwanza, Dodoma na mikoa mingine
Au ni city tu kama vile Kasulu, Kilimanjaro na Cities zingine

Kuhuliza sio ujinga nataka nijue
Na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ni Amos Makalla
 
Hivi Dar es salam ni mkoa kama vile Kigoma, Mwanza, Dodoma na mikoa mingine
Au ni city tu kama vile Kasulu, Kilimanjaro na Cities zingine

Kuhuliza sio ujinga nataka nijue
We kwisha kuhuliza sio ujinga bwana

Dar ni mkoa kama mikoa mingine na kwa Tanzania bara Dar ndio mkoa mdogo zaidi kieneo. Eneo la Dar ni sawa tu na nusu ya wilaya ya Manyoni huko mkoani Singida.

Kasulu sio city ni wilaya ipo mkoa wa Kigoma. Kilimanjaro nayo sio city ni mkoa kama ilivyo Arusha na ndio mkoa wa pili kwa udogo wa eneo baada ya Dar kwa Tz bara. Ila watu ya Njaro iko na pesa imehamishia mikoa mingine kwao inakwenda tu kula Krismass na kuondoka.

Cities hapa Tz bara ni 5 nazo ni miji mikuu ya mikoa hiyo:
Dar es Salaam
Mwanza
Arusha
Mbeya
Dodoma
Tanga
Unguja naye ni city nyingine huko Sansibari

Moshi kule K’Njaro inastahili kuwa jiji la 6 nchini ila bado mabwana wakubwa hawajapenda aisee.
 
Kuna Mkoa wa Dar es Salaam - Mkoa mzima kujumlisha Wilaya zote 5

Na

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam (iliyokua Manispaa ya Ilala)
 
Back
Top Bottom