Nataka kujua kwa wale waliofanya interviews za ICT Officer DUCE

Nataka kujua kwa wale waliofanya interviews za ICT Officer DUCE

Juma2010

Member
Joined
Dec 14, 2020
Posts
26
Reaction score
48
Wadau humu ndani. Nilikuwa nataka kujua kwa wale waliofanya interviews za ICT Officer DUCE tarehe 05/01/2022 mifumo ya maswali ilikuwaje kwa Kada za Business Analysts, Network Administrator, System Design and Development na User and Support kwa paper za written.

Siyo mbaya kwa waliofanikiwa kuingia practical mtusaidie mifumo ilivyo (possibles)
 
Hv hawa utumishi wamerudi Dar au bado wako DODOMA? Maana walisema saili zote zitafanyikia Dom Ila bado tunasikia watu wanaitwa Dar Duce
 
Hv hawa utumishi wamerudi Dar au bado wako DODOMA..? Maana walisema saili zote zitafanyikia Dom Ila bado tunasikia watu wanaitwa Dar Duce
Hv hawa utumishi wamerudi Dar au bado wako DODOMA..? Maana walisema saili zote zitafanyikia Dom Ila bado tunasikia watu wanaitwa Dar Duce
Baadhi ya Kada zilifanyika UDSM na baadhi zilifanyika UDOM. ICT zilifanyika UDSM
 
Nishajiunga ajira poto

Na mimi nisipitwe maana kila siku nakutana na nyuzi za watu kuitwa interview unajiuliza haaa izi nafasi zilitangazwa lini
 
Back
Top Bottom