Nataka kujua kwanini wanawake wembamba hawajifungi kanga?

Nataka kujua kwanini wanawake wembamba hawajifungi kanga?

cluster ndara

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2018
Posts
211
Reaction score
318
Jamani hili suala najiulizaga kila siku

Sijawahi kumuona mwanamke mwemba amejifunga kanga ila leo nimemuuliza rafiki yangu hili swali amesema kuwa wanaogopa eti wataonekana kama wana mguu mmoja.

Je, kuna ukweli wowote kuwa mwanamke mwembamba akijifunga kanga anaonekana kama ana mguu mmoja?

Karibu kujadili hili wakuu
 
sasa atajifunga wapi wakt hakuna utenganisho mzur wa kiuno......by the way....waliojikubali huwa wanafunga bila shida yoyote
 
Back
Top Bottom